Skip to main content
Cover of Kitoweo cha Mama na Hadithi Nyingine
Description

Kitoweo cha mama na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kadhaa za kusisimua na za kipekee. Hadithi hizi zinaangazia hali halisi za maisha ya wanadamu kupitia wahusika wanayama. Zimejikita kwenye maudhui kama vile kusema ukweli, utiifu,kuwajali wengine, usaliti, subira na uvumilivu. Kutokana na hadithi hizi, wasomaji walengwa watachochewa kuwa na fikra za kipekuzi na za kibunifu ili waweze kudadisi mambo na kutafuta suluhu za changamoto mbalimbali zinazoweza kuwakumba maishani.

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789966623867
SKU
9789966623867
Delivery type
physical
Publisher
Storymoja Publishers
Language
swh
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Kitoweo cha Mama na Hadithi Nyingine

Author:
Seth Mboya
Language:
swh
Collection:
Back to School Starter Pack

Paperback

KESĀ 480.00
1

This edition is currently out of stock.

Kitoweo cha Mama na Hadithi Nyingine
KESĀ 480.00
Currently unavailableNo edition is available to buy right now.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Kitoweo cha Mama na Hadithi Nyingine | eKitabu