Skip to main content
Cover of Wosia Diwani ya Mashairi
Description

Wosia—Diwani ya Mashairi ni mkusanyiko wa mashairi wa aina yake. Mashairi yenyewe yametungwa kwa kuzingatia mahitaji ya ushairi katika kiwango cha daraja ya awali (junior school). Diwani hii ina mashairi ishirini na sita yaliyotungwa kwa ufundi na ustadi. Mashairi, kama tanzu ya fasihi, ni kioo cha jamii. Mashairi haya yaburudisha, kushawishi, kuasa, kufikirisha na hata kuchekesha. Kwa njia hii yanateka hisia za msomaji na kumchorea picha mawazoni ili aweze kuyafurahia. Aidha, yanafikisha ujumbe palipokusudiwa. Watunzi wa Wosia—Diwani ya Mashairi wana uzoefu na wepesi wa kutunga mashairi. Diwani hii imejumuisha malenga na wasomalenga, wanawake kwa wanaume, wadogo kwa wakubwa, ili kudumisha usawa wa kijinsia, kimaeneo na kiumri. Watunzi chipukizi wamejumuishwa katika diwani hii kimakusudi pia ili kuwapa fursa ya kukuza vipawa vyao. Aidha, watakuwa kielelezo bora kwa wanafunzi ambao wana hamu ya kuwa watunzi wa mashairi.

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789914466799
SKU
9789914466799
Delivery type
physical
Publisher
Storymoja Publishers
Language
swh
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Wosia Diwani ya Mashairi

Author:
Jackson Muraya, Pauline Kea, Esther Njeri, Mahmoud Shariff, Ngugi Macharia, Zuwena Ahmed, Boukheit Amana
Language:
swh
Collection:
Back to School Starter Pack

Paperback

KES 500.00
1

This edition is currently out of stock.

Wosia Diwani ya Mashairi
KES 500.00
Currently unavailableNo edition is available to buy right now.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Wosia Diwani ya Mashairi | eKitabu