

Description
Katika mkusanyiko huu wa hadithi, mafumbo tata yanafumbuliwa. Katika hadithi ya Nguli wa Kaya siri za kale za uhusiano wa msitu na jamii zinabainika, wakati huo katika Aste Aste tishio la hujuma za kijidijitali zinafichuliwa, ilhali katika Farasi asiye na Farisi ushindani wa viongozi kuleta matumaini na faraja unamulikwa. Hadithi hizi zinaakisi mada za masuala mtaambuko na maadili zinazompa msomaji na mwanafunzi hamu ya kujiburudisha, kasi ya kusoma, ari ya kuvinjari na uwezo wa kuwa na umilisi. Kupitia msururu huu wa hadithi, msamiati huongezeka, mawazo hupanuka na uzoefu wa mambo unaimarika.
Book details
- Format
- Paperback
- ISBN
- 9789914467420
- SKU
- 9789914467420
- Delivery type
- physical
- Publisher
- Storymoja Publishers
- Language
- swh
Shipping & returns
Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.
Book information
Nguli wa Kaya na Hadithi Nyingine
- Author:
- Muhiddin Ngashe, Marcella Karimi, Reuben Wanyama
- Language:
- swh
- Collection:
- Popular Children's Books
Paperback
This edition is currently out of stock.






