Skip to main content
Cover of Simulizi na Hadithi Nyingine
Description

Katika mkusanyo huu wa hadithi, utakumbana na matukio usioyatarajia. Katika hadithi ya Simulizi za Utotoni na Usipoziba Ufa... ujirani mwema unatuachia athari katika maisha yetu, wakati huo huo katika Mawimbi ya Mabadiliko changamoto ya kufanya kazi katika mazingira yenye siutafahamu inaangaziwa, ilhalia katika Mtazamo Mpana unahimizwa katikati ya migogoro, na bila shaka katika Shahidi wa Siri ufichuzi wa uhalifu unamwandama msaliti. Hadithi hizi zinaakisi mada ya masuala mtambuko na maadili zinazompa msomaji na mwanafunzi hamu ya kujiburudisha, kasi ya kusoma, ari ya kujivinjari na uwezo wa kuwa na umilisi. Kupitia msururu huu wa hadithi, msamiati huongezeka, msamiati hupanuka na uzoefu wa mambo unaimarika.

Book details
Format
Paperback
ISBN
9789914467413
SKU
9789914467413
Delivery type
physical
Publisher
Storymoja Publishers
Language
swh
Shipping & returns

Delivery methods, digital access, taxes, and return eligibility are confirmed during checkout for the selected edition and destination.

Book information

Simulizi na Hadithi Nyingine

Author:
Mischek Njiru, Rumona Apiyo, Reuben Wanyama
Language:
swh
Collection:
Popular Children's Books

Paperback

KESĀ 500.00
1

This edition is currently out of stock.

Simulizi na Hadithi Nyingine
KESĀ 500.00
Currently unavailableNo edition is available to buy right now.
ReturnsEligibility confirmed at checkout.
Simulizi na Hadithi Nyingine | eKitabu